Zinakaa na chaji mda mrefu kweli, kama masaa nane hivi. Ina touch sensitivity, ambayo unaweza ongezea sauti au kupunguza ....zina functions nyingi ambazo hata brand kama Xiaomi (wako vizuri pia) lakini hawaweki kwenye product zao za budget ndogo....lugha ya A.I ya wenzetu lakini, that's not an issue when you're getting high quality sound, reliable power. ziko vizuri. Value for money kinda product. of course,kukaa kwenye sikio kama hujazizoea itasumbua, lakini it's an excellent work of engineering for a give away price
Add a review
This product is available in the following configurations (In very rare cases, some options may be out of stock)
1 review for Minions P83 Wireless Dynamic Headset